Aviator: Rahisi kucheza kama 1-2-3 – Ushindi ndani ya sekunde chache!
Aviator: Rahisi kucheza kama 1-2-3 – Ushindi ndani ya sekunde chache! Mzuka wa mchezo wa Aviator uko juu kuliko wakati wowote! Huu ni mchezo rahisi, wa kasi, na wa kipekee…
Tunakuletea Habari Mbali Mbali za Michezo Kutoka Tanzania
Aviator: Rahisi kucheza kama 1-2-3 – Ushindi ndani ya sekunde chache! Mzuka wa mchezo wa Aviator uko juu kuliko wakati wowote! Huu ni mchezo rahisi, wa kasi, na wa kipekee…
Max Nzengeli ni Mchezaji Halali wa Yanga Hadi 2027, Apewa Mkataba Mpya Maxi aliongeza mkataba wa miaka miwili kubaki Yanga,na kila kitu kilikamilika mwezi mmoja uliopita✅ Maxi ni kijani na…
Aziz Ki Kupangwa Mechi ya Wydad na Manchester City Stephane Aziz Ki amepangwa kuichezea Wydad Athletic Club ya Morocco katika mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia la Klabu…
Klabu ya Yanga inatarajiwa kuweka kambi visiwani Zanzibar kwaajili ya maandalizi ya mchezo wao wa Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Simba utakaopigwa June 25. Hata hivyo Yanga pia itacheza…
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatangaza Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika tarehe 16/08/2025 jijini Tanga. Nafasi zinazogombewa ni Rais (Nafasi 1) na nafasi ya…
Pazia la michuano ya kombea Dunia kwa ngazi ya klabu limefunguliwa rasmi Alfajiri ya leo Juni 15, 2025 ambapo wawakilishi wa Afrika, Al Ahly ya Misri wametoshana nguvu kwa sare…
Almas Kasongo, aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, amekumbwa na mabadiliko makubwa baada ya kuondolewa kwenye nafasi yake. Hatua hii imeibua mjadala mpana katika duru za michezo, huku ikihusishwa…
Fiston Mayele Awaaga Pyramids, Kutimkia Timu Hii ya Kocha Nabi Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Congo Dr Fiston Mayele amewaaga mashabiki wa prymid baada ya kuhudumu miaka miwili Fiston…
Kupitia taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeelezwa kuwa Rais wa TFF Wallace Karia amemsimamisha kazi Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Almasi…
Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana imetinga fainali ya kombe la COSAFA 2025 kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Comoros kwenye nusu fainali. Bafana Bafana itachuana na Angola…