Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana imetinga fainali ya kombe la COSAFA 2025 kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Comoros kwenye nusu fainali.
Bafana Bafana itachuana na Angola ambayo pia imetinga fainali baada ya kuilaza Madagascar kwa jumla ya magoli 4-1. Comoro itachuana na Madagascar kutafuta mshindi wa tatu.
FT: Afrika Kusini πΏπ¦ 3-1 π°π² Comoro
β½ 07β Mohamed (og)
β½ 14β Radiopane
β½ 59β Sebelebele
β½ 29β Madi
FAINALI: Juni 25, 2025
16:00 Angola π¦π΄ vs πΏπ¦ Afrika Kusini
MSHINDI WA TATU
13:00 Madagascar π²π¬ vs π°π² Comoros