Fiston Mayele Awaaga Pyramids, Kutimkia Timu Hii ya Kocha Nabi
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Congo Dr Fiston Mayele amewaaga mashabiki wa prymid baada ya kuhudumu miaka miwili
Fiston amefunga magoli 41 kwenye mashindano yote ndani ya misimu miwili aliyocheza pyramid
Baada ya kuagq prymid kumekua na uvumi kua Mayele anakwenda kuungana na makocha wake wa zamani kwenye kikosi cha Kaizer Nabi pamoja na Cedric Kaze
Mayele alikuja kuwapa mataji Yanga baada ya kuyakosa kwa misimu minne mfululizo
Amewapa taji la kwanza Pryamid kwenye historia yao walikua hawawahi kushinda taji lolote
Vipi anaweza kurejesha ubora wa Amakhosi ambao ndani ya misimu 10 wameshinda taji moja pekee
Record za Mayele kwenye michuano ya Africa
1.Top Scorer CCC 2022/23 GOAL 7
2.Top scorer CCL 2024/25 GOAL 6