Simba Wapo Kwenye Hatari, Ahoua Hajitumi Ipasavyo – Saleh Jembe Afunguka
Mchambuzi mahiri wa soka nchini, @Salehjembefacts, amesema kwamba mchezaji wa kimataifa wa Simba, Jean Charles Ahoua anaiangusha klabu yake na kama akiendelea hivi, anapaswa kuanzia benchi. Saleh amesema alishawahi kumzungumzia…