Tue. Nov 4th, 2025

Usajili wa Balla Conte unanikumbusha usajili wa Aziz Ki miaka kadhaa iliyopita.

Aziz alikuja kwa hype kubwa na Siyo kwa bahati mbaya ila usajili wake ulikuwa na vita kubwa kwani timu mbali mbali zilihitaji huduma yake.

Kwa bahati mbaya Baada ya kufika Bongo,mambo hayakuwa mazuri kwenye msimu wake wa kwanza,mpaka ikapelekea Yanga kutaka kumuuza Al Hilal.

Ila msimu wake wa pili ilikuwa history……sometimes kuna Wachezaji wanahitaji Muda Ila kuna wengine ni wabovu hawahitaji muda halafu kuna wengine wakiingia wanawaka pale pale hivyo unahitaji jicho la tatu kuweza kuwatofautisha.

Ameandika mchambuzi @hansrafael14