Yanga Warejea Dar Baada Ya Kulazimishwa Sare Na Mbeya City
Kikosi cha Yanga SC kimewasili jijini Dar es Salaam baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, Septemba 30, 2025, ambapo walitoka suluhu ya…
Kikosi cha Yanga SC kimewasili jijini Dar es Salaam baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, Septemba 30, 2025, ambapo walitoka suluhu ya…
Simba Sports Club iko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kocha Nasreddine Nabi (60) kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kwa msimu wa 2025/2026, taarifa ambazo zimezua msisimko…
Kwa sasa kila mchezaji wa Yanga anaonekana wa kawaida sana. Hii inatokana na jinsi timu inavyocheza kwa sasa — haichezi kama timu na hakuna mfumo unaowawezesha wachezaji kuonyesha ubora wao…
SportPesa Tanzania’s aviator and Spin the Wheel are turning small stakes into big winnings SportPesa Tanzania’s Aviator and Spin the Wheel are revolutionizing digital entertainment, transforming small stakes into big…
Kocha wa Timu ya Taifa, Suleiman Morocco ametangaza kikosi cha Taifa Stars kitachoingia kambini kujiandaa na mechi za kufuzu kombe la Dunia. Katika kikosi hicho nyota mpya wa Yanga Sc,…
Anaandika @kelvinrabson_ ✍️ Nafikiri kabla ya kuangalia ubora na madhaifu kwenye mchezo huu , changamoto kubwa ilikuwa ni pitch mpira hautulii na ilipelekea kukosa ubora kwa timu zote mbili .…
Football ni Mchezo wa wazi,mtu atakwambia uwanja ulikuwa changamoto,ila tujiulize kwenye viwanja vizuri hapa Dar es salaam tumefanikiwa kuiona ile Yanga ya kweli? Muda mwingine kocha anaweza kujificha kwenye ushindi…
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amesema amesikitishwa na kile alichodai ni matamshi ya Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki…
Mchambuzi mahiri wa soka nchini, @Salehjembefacts, amesema kwamba mchezaji wa kimataifa wa Simba, Jean Charles Ahoua anaiangusha klabu yake na kama akiendelea hivi, anapaswa kuanzia benchi. Saleh amesema alishawahi kumzungumzia…
Shirikisho la soka duniani, FIFA, limemchagua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuchezesha mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, kati ya Cape Verde na Eswatini! Mchezo huu unatarajiwa Oktoba…