Msemaji Ahmed Ally Kwenye Kikao cha Kumfukuza Kocha Folz
Kwenye kikao cha kumfukuza Kocha Foili kilichofanyika jana Mbeya kwenye Hoteli iliyopo Mafiati Kocha kauliza mnanifukuza kwani mimi ndio nimesajili Wastaafu? Wakajibu hapana, akauliza tena mimi ndio nimesajili Streka mechi…