Skip to content
SOKA TANZANIA

SOKA TANZANIA

Sports News From Tanzania

  • HOME
  • Habari za Michezo
  • Vikosi
  • Matokeo
  • Tetesi za Usajili
Habari za Michezo

Simba Yatinga Fainali Kombe la Shirikisho Africa

April 27, 2025 Soka Tanzania

SIMBA YATINGA FAINALI SHIRIKISHO AFRIKA Mchezo wa Leo uliochezwa nchini South Afrika Matokeo yake ni FT: Stellen B 0-0 Simba Matokeo hayo yanafanya Agg: 0-1 hivyo Simba inakwenda Moja Kwa…

Habari za Michezo Matokeo ya Simba

MATOKEO Simba Vs Stellenbosch Leo Tarehe 27 April 2025

April 27, 2025 Soka Tanzania

MATOKEO Simba Vs Stellenbosch Leo Tarehe 27 April 2025 Stellenbosch watamenyana na Simba katika Mechi ya Mchujo ya Kombe la Shirikisho mnamo Aprili 27. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza saa 16:00…

Habari za Michezo Kikosi cha Simba

KIKOSI cha Simba Vs Stellenbosch Leo Tarehe 27 April 2025

April 27, 2025 Soka Tanzania

KIKOSI cha Simba Vs Stellenbosch Leo Tarehe 27 April 2025 Stellenbosch watamenyana na Simba katika Mechi ya Mchujo ya Kombe la Shirikisho mnamo Aprili 27. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza saa…

Habari za Michezo

Mudathir Yahya Achaguliwa Mchezaji BORA Yanga Ikiingia Nusu Fainali Kombe la Muungano

April 27, 2025 Soka Tanzania

WANANCHI, Young Africans Sc wamefuzu kwenda nusu fainali ya kombe la Muungano 2025 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya KVZ Fc ya Zanzibar katika uwanja wa Gombani, Pemba Zanzibar kwenye…

Habari za Michezo

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi: Arsenal wanamtaka Kounde wa Barca

April 26, 2025 Soka Tanzania

Arsenal wanapanga kutoa £55m kumchukua beki wa Barcelona, Jules Kounde, mwenye umri wa miaka 26. (The Sun) Nottingham Forest inaweza kuendelea na mpango wa kumchukua kiungo wa Manchester City, James…

Fiston Mayele Habari za Michezo

Mayele Atupia Mbili Aisaidia Pyramids Kutinga Fainali Ligi ya Mabingwa

April 26, 2025 Soka Tanzania

Fiston Kalala Mayele amefunga magoli mawili na kuisaidia Pyramids kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kufuatia ushindi wa jumla wa 3-2 dhidi ya Orlando Pirates katika dimba la…

Habari za Michezo

Al Ahly Yatupwa Nje ya Mashindano CAF, Mamelodi Sundowns Watinga Fainali

April 25, 2025 Soka Tanzania

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly wametupwa nje ya michuano kwa bao la ugenini kufuatia sare ya jumla ya 1-1 dhidi ya Mamelodi Sundowns kwenye nusu fainali.…

Habari za Michezo

George Ambangile: Itafutwe Suluhisho Lolote Dabi ya Yanga na Simba Ichezwe

April 25, 2025 Soka Tanzania

George Ambangile anasema itakuwa ni busara sana kwa wenye mamlaka kutafuta suluhu itayopelekea mechi ya Kariakoo Derby kati ya Simba na Yanga kuchezwa ili Timu hizo zikamilishe mechi 30 kama…

Habari za Michezo

Musonda Afuta Picha zote Alizowahi Kipiga na Yanga, Hii ni Baba Jeni Bye Bye

April 25, 2025 Soka Tanzania

Katika ulimwengu wa soka la kisasa, mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya wachezaji. Ni jukwaa ambalo hutumika sio tu kwa kuwasiliana na mashabiki bali pia kuonesha hisia,…

Habari za Michezo

CAF Yafanya Mabadiliko ya Ghafla Mechi ya Simba na Stellenbosch

April 25, 2025 Soka Tanzania

Shirikisho la Soka barani Afrika CAF limefanya mabadiliko ya ghafla ya mwamumuzi wa mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Stellenbosch…

Posts pagination

1 … 14 15 16 … 294

Most Viewed Posts

  • Eng Hersi wa Yanga Aandikwa na Jarida Maarufu la African Learders
  • Rasmi Yanga wameachana na mbio za kumsaini Jean-Florent Ikwange Ibengé
  • Wasimamizi wa Fei Toto Wanapitia Offer za Yanga na Simba, Azam Watoa Offer Nzito
  • Mchezaji Aziz K Hana Baya, Aitabiria Simba Kuchukua Ubingwa Mwaka Huu
  • Rhulani Mokwena anaongoza orodha ya Makocha Wanao Windwa na Yanga

You missed

Habari za Michezo Magazeti ya Michezo

Aishi Manula Ndio Kipa Aliyeruhusu Magoli Mengi

June 7, 2025 SokaTanzania
Habari za Michezo Uncategorized

Tabwe: Singida Black Stars Itatwaa Ubingwa Msimu Huu

June 7, 2025 SokaTanzania
Uncategorized

Msimamo wa Yanga Endapo Itanyanganywa Pointi 15 Kwa Sababu ya Dabi ya Kariakoo

June 6, 2025 SokaTanzania
Habari za Michezo

Waarabu Waitibulia Yanga Dili la Mashine Hii ya Kumwaga Maji

June 5, 2025 SokaTanzania
SOKA TANZANIA

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.