Rasmi Timu ya Kengold FC Yashuka Darasa Ligi Kuu ya NBC Tanzania
Klabu ya Kengold Fc imeshuka daraja rasmi kutoka Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara kwenda Ligi ya Championship kufuatia kipigo cha 2-1 dhidi ya Wanamangush, Coastal Union katika dimba la…
Sports News From Tanzania
Klabu ya Kengold Fc imeshuka daraja rasmi kutoka Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara kwenda Ligi ya Championship kufuatia kipigo cha 2-1 dhidi ya Wanamangush, Coastal Union katika dimba la…
Klabu ya Leicester City inayonolewa na Ruud Van Nistelrooy imeshuka daraja rasmi kutoka Ligi Kuu England kwenda Ligi ya Championship England kufuatia kipigo cha 1-0 nyumbani dhidi ya Liverpool. Kwa…
Mshambuliaji wa Uholanzi Xavi Simons huenda akaondoka RB Leipzig msimu huu wa joto na klabu hiyo ya Ujerumani italipisha takriban £70m endapo itaamua kumuuza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka…
Kuna muda mpira unabadilika kabisa leo sijaona ile Simba SC iliyocheza na Al Masry pale Benjamin Mkapa..Nini wangefanya ni kupeleka ule moto walioupekeka kwa Al Masry..Tatizo ikawa hakuna ile kasi…
Manchester United wanafikiria kuwa na mpango wa kubadilishana wachezaji utakaomhusisha Marcus Rashford na mshambuliaji wa Aston Villa Ollie Watkins, Alexander Isak anatazamiwa kusalia Newcastle United na Manchester City wanapanga kumnunua…
Baada ya ushindi wa kishindo wa mabao 3-0 wa Singida Black Stars dhidi ya Tabora United, mabadiliko makubwa yameshuhudiwa kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mchezo huo uliopigwa kwenye…
Mara baada ya kushinda kesi yake iliyokuwa kamati ya maadili ya TFF, afisa habari wa klabu ya Simba Sc Ahmed Ally ametoa taarifa nzito ya kijembe na kejeli kwa watani…
Kwa upande wa pili kuna Simba SC, klabu yenye misuli ya historia lakini ina moyo wa kisasa. Wanatoka kwenye ushindi wa kihistoria dhidi ya Al Masry, wakipindua meza kutoka 2-0…
Hiki Hapa KIKOSI cha Simba Vs Stellenbosch Leo Tarehe 20 April 2025 Aprili 20, Simba itakuwa mwenyeji wa Stellenbosch katika mechi ya Mchujo ya Kombe la Shirikisho. Mechi hiyo inatarajiwa…
Haya Hapa MATOKEO ya Simba Vs Stellenbosch Leo Tarehe 20 April 2025 Aprili 20, Simba itakuwa mwenyeji wa Stellenbosch katika mechi ya Mchujo ya Kombe la Shirikisho. Mechi hiyo inatarajiwa…