Skip to content
SOKA TANZANIA

SOKA TANZANIA

Sports News From Tanzania

  • HOME
  • Habari za Michezo
  • Vikosi
  • Matokeo
  • Tetesi za Usajili
Habari za Udaku

SIMBA Yalamba Dili la Bilioni 38 Utengenezaji wa Jezi zake

April 16, 2025 Soka Tanzania

SIMBA Yalamba Dili la Bilioni 38 Utengenezaji wa Jezi zake Kampuni ya JAYRUTTY imeshinda tenda ya zabuni ya utengenezaji na usambazaji wa jezi za Simba SC ambapo klabu hiyo imesaini…

Habari za Michezo

Azam Waweka Kitita Kwa Feitoto Lakini Wapi, Yanga na Simba Waingia Vitani

April 16, 2025 Soka Tanzania

VITA mpya kwa Simba na Yanga ni namna zinavyopambana kuonyeshana jeuri ya fedha, kumshawishi kiungo wa Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’, zikimtengea mamilioni ya kufuru kwa ofa tofauti lakini pia…

Habari za Michezo

Yanga Yamfunga Stand United Bao 8, Yamfuata JKT Tanzania Nusu Fainali Kombe la CRDB

April 15, 2025 Soka Tanzania

Wananchi, Young Africans Sc wameifuata JKT Tanzania kwenye nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB (FA Cup) kufuatia ushindi mnono wa 8-1 dhidi ya Stand United katika dimba la…

Habari za Michezo

Hivi Hapa Viingilio Mchezo wa SIMBA na Stellenbosch Amani Complex Zanzibar

April 15, 2025 Soka Tanzania

Klabu ya Simba Sc imetangaza rasmi viingilio kwa ajili mchezo wao wa mkondo wa kwanza wa hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) utakaopigwa Aprili 20, 2025…

Edo Kumwembe Feisal Salimu Fei toto Habari za Michezo

EDO Kumwembe: FEISAL Salum Atafika Akiwa Hoi Saana

April 15, 2025 Soka Tanzania

EDO KUMWEMBE🎙FEISAL ATAFIKA AKIWA HOI SAANA 💬 Na kama kuna mwanadamu ambaye atakuwa analala hoi basi ni Feisal Salum, ‘Fei Toto’. Namna ambavyo siku yake nzima inaambatana na mambo mawili.…

Habari za Michezo

Simba SC Kucheza na Singida Black Stars Nusu Fainali Kombe la CRDB

April 15, 2025 Soka Tanzania

Kikosi cha Simba SC kitacheza dhidi ya Singida Black Stars hatua ya nusu fainali ya Kombe la CRDB kati ya Mei 16-17. Singida BS imeshinda mabao 2-0 dhidi ya Kagera…

Habari za Michezo

Simba Yaitupa Nje Mbeya City na Kutinga Nusu Fainali CRDB Cup

April 15, 2025 Soka Tanzania

Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wameisukumiza Mbeya City nje ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB (FA Cup) na kutinga nusu fainali kufuatia ushindi wa 3-1 katika dimba KMC…

Habari za Michezo Wasafi Sports Arena

🔴 #LIVE:SPORTS ARENA NDANI YA WASAFI FM 14/04/2025

April 14, 2025 Soka Tanzania

🔴 #LIVE:SPORTS ARENA NDANI YA WASAFI FM 14/04/2025

Habari za Michezo

Kundi la Ngorongoro Heroes ni la Kifo Aisee……

April 14, 2025 Soka Tanzania

MICHEZO:Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ imepangwa kundi A katika fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri huo (AFCON U20) 2025…

Habari za Michezo

Eng. Hersi Said Apewa TUZO Kwa Mchango Wake wa Kuunganisha Vilabu Afrika

April 14, 2025 Soka Tanzania

RAIS wa Klabu ya Yanga Sc na Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Afrika , ya kuthamini mchango wake wa kuunganisha Vilabu vya Soka Afrika. Tuzo hii imetolewa kwenye mkutano wa…

Posts pagination

1 … 20 21 22 … 294

Most Viewed Posts

  • Eng Hersi wa Yanga Aandikwa na Jarida Maarufu la African Learders
  • Wasimamizi wa Fei Toto Wanapitia Offer za Yanga na Simba, Azam Watoa Offer Nzito
  • Rasmi Yanga wameachana na mbio za kumsaini Jean-Florent Ikwange Ibengé
  • Mchezaji Aziz K Hana Baya, Aitabiria Simba Kuchukua Ubingwa Mwaka Huu
  • Rhulani Mokwena anaongoza orodha ya Makocha Wanao Windwa na Yanga

You missed

Habari za Michezo Magazeti ya Michezo

Aishi Manula Ndio Kipa Aliyeruhusu Magoli Mengi

June 7, 2025 SokaTanzania
Habari za Michezo Uncategorized

Tabwe: Singida Black Stars Itatwaa Ubingwa Msimu Huu

June 7, 2025 SokaTanzania
Uncategorized

Msimamo wa Yanga Endapo Itanyanganywa Pointi 15 Kwa Sababu ya Dabi ya Kariakoo

June 6, 2025 SokaTanzania
Habari za Michezo

Waarabu Waitibulia Yanga Dili la Mashine Hii ya Kumwaga Maji

June 5, 2025 SokaTanzania
SOKA TANZANIA

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.