Skip to content
SOKA TANZANIA

SOKA TANZANIA

Sports News From Tanzania

  • HOME
  • Habari za Michezo
  • Vikosi
  • Matokeo
  • Tetesi za Usajili
Habari za Michezo

Simba Kucheza Nusu Fainali ya Kwanza CAF Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar

April 13, 2025 Soka Tanzania

Kikosi cha Simba kitautumia uwanja wa New Amaan Complex uliopo visiwani Zanzibar kwenye mchezo wake wa nyumbani wa nusu fainali ya Kombe la shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Stellenbosch FC…

Habari za Michezo

UKWELI USEMWE: AZAM FC Sajili zao Kwa Asilimia Kubwa Zimefeli….

April 13, 2025 Soka Tanzania

AZAM SAJILI ZAO KWA ASILIMIA KUBWA ZIMEFELI. 📝Mwisho wa msimu uliopita hata kabla dirisha kubwa la usajili halijafunguliwa Azam walianza kufanya sajili kwenye klabu yao hasa za wachezaji wa kimataifa…

Feisal Salimu Fei toto Habari za Michezo

IMEFICHUKA…Yanga Wampa Offer Fei Toto Sh 750M, Mshahara kwa Mwezi Milioni 40

April 13, 2025 Soka Tanzania

Transfer News Live: imefichuka Yanga wameofa tsh 750m (sign-on fee) na mkataba wa miaka miwili kwa Fei Toto,lakini pia wameofa mshahara wa tsh 40m kwa mwezi. Yanga wanapata kiburi kwani…

Habari za Michezo

Sakata la Wachezaji Kupewa Uraia wa Tanzania, Mahakama Yatoa Hukumu

April 12, 2025 Soka Tanzania

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imeitupa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka kupinga uamuzi wa Serikali kuwapa uraia wa Tanzania nyota watatu wa timu ya Singida Black Stars. Nyota…

Aziz K Habari za Michezo

Aziz K Afunguka Kinacho Msibu Msimu Huu Kushuka Kiwango, Amtaja Gamondi na Ramovic

April 12, 2025 Soka Tanzania

.”Nakiri msimu huu sijafanya mambo makubwa sana, hili limetokana na uchovu wa msimu uliopita na nilipambana sana kuweka sawa malengo ya klabu.” “Sio Yanga tu, pia hata timu ya Taifa…

Habari za Michezo

Nani Ataibuka MVP Ligi Kuu Msimu Huu ?

April 12, 2025 Soka Tanzania

Imesalia michezo mitano kwa klabu ya Yanga kutamatisha safari ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 huku ikihitaji alama zote 15 ili ijihakikishie ubingwa wa Ligi msimu huu. Klabu…

Clatous Chama Habari za Michezo

Chama Bado Anaweza Sana, Apite Njia Alizopitia Saido, Umri Sio Tatizo…

April 12, 2025 Soka Tanzania

Anaandika ✍️ @cheyolutenganotz Ukisema kukosa namba kwa Chama Yanga kunatokana na umri wake kwenda nitakataa, kwa sababu kuna mastar kibao wenye umri sawa na yeye na bado wanakiwasha tu, Kama…

Habari za Michezo

Hizi Hapa Timu 4 za Afrika Ambazo Zitashiriki kwenye Kombe la Dunia la Vilabu Mwaka 2025

April 11, 2025 Soka Tanzania

Shirikisho la soka Duniani FIFA limezitaja timu nne za Afrika ambazo zitashiriki kwenye kombe la Dunia la Vilabu mwaka 2025 , mashindano yatakayofanyika nchini Marekani 🇲🇦 Wydad Athletic Club –…

Michezo Msimamo wa Ligi World Sports News

Best Football Leagues in Africa 2024/2025

April 11, 2025 Soka Tanzania

Ligi Bora Afrika Best Football Leagues in Africa 2024/2025 Top 10 Best Leagues In Africa 2024/2025 Strongest league in Africa: Top League refers to the top professional football (soccer) leagues…

Habari za Udaku

Mauzo ya Pombe Marekani Yashuka Vibaya Kisa Sera za Trump Kwa Wageni….

April 11, 2025 Soka Tanzania

Kampuni ya Constellation Brands imeripoti kushuka kwa mauzo ya bia zake maarufu kama Modelo, Corona na Pacifico kwa mara ya kwanza tangu ilipochukua usimamizi wa biashara hiyo mwaka 2013. Kwenye…

Posts pagination

1 … 21 22 23 … 294

Most Viewed Posts

  • Eng Hersi wa Yanga Aandikwa na Jarida Maarufu la African Learders
  • Wasimamizi wa Fei Toto Wanapitia Offer za Yanga na Simba, Azam Watoa Offer Nzito
  • Rasmi Yanga wameachana na mbio za kumsaini Jean-Florent Ikwange Ibengé
  • Mchezaji Aziz K Hana Baya, Aitabiria Simba Kuchukua Ubingwa Mwaka Huu
  • Rhulani Mokwena anaongoza orodha ya Makocha Wanao Windwa na Yanga

You missed

Habari za Michezo Magazeti ya Michezo

Aishi Manula Ndio Kipa Aliyeruhusu Magoli Mengi

June 7, 2025 SokaTanzania
Habari za Michezo Uncategorized

Tabwe: Singida Black Stars Itatwaa Ubingwa Msimu Huu

June 7, 2025 SokaTanzania
Uncategorized

Msimamo wa Yanga Endapo Itanyanganywa Pointi 15 Kwa Sababu ya Dabi ya Kariakoo

June 6, 2025 SokaTanzania
Habari za Michezo

Waarabu Waitibulia Yanga Dili la Mashine Hii ya Kumwaga Maji

June 5, 2025 SokaTanzania
SOKA TANZANIA

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.