Klabu ya Young Africans Imempa Taarifa Hii Mshambuliaji Kennedy Musonda
Klabu ya Young Africans imempa taarifa Mshambuliaji Kennedy Musonda (30) kuwa haitaendelea nae baada ya msimu huu kumalizika na mchezaji amepokea taarifa hiyo – Menejimenti ya Kennedy Musonda inafanya mazungumzo…