Max Nzengeli na Pacome Zoizoua Shughuli Imeisha Jangwani
Max Nzengeli na Pacome Zoizoua Shughuli Imeisha Jangwani Kama kuna shabiki aliyekuwa akiamini Pacome Zouzoua na Maxi Nzengeli wanatimka Yanga SC kwa vile mikataba inamalizika mwisho wa msimu, basi poleni…