Skip to content
SOKA TANZANIA

SOKA TANZANIA

Sports News From Tanzania

  • HOME
  • Habari za Michezo
  • Vikosi
  • Matokeo
  • Tetesi za Usajili
Habari za Michezo

Rhulani Mokwena anaongoza orodha ya Makocha Wanao Windwa na Yanga

May 14, 2025 ajirayako

Updates🚨Rhulani Mokwena anaongoza orodha ya makocha wanao windwa na Yanga✍️ Yanga wako kwenye mazungumzo ya kina na kocha wa zamani wa vilabu vya Mamelodi na Wydad Casablanca,Rhulani Mokwena (38). Rhulani…

Sport News

Ali Kamwe Atoa Tamko Baada ya Simba SC Kupata Ushindi wa 2-1 Dhidi ya KMC FC Jana

May 14, 2025 ajirayako

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga SC ametoa tamko mara tu baada ya Simba SC kupata ushindi mkubwa dhidi ya KMC FC. Kwenye kauli yake ya kitaharuki, ameeleza…

Vikosi

Kocha Fadlu Davids Atoa Tamko Baada ya Simba SC Kupata Ushindi wa 2-1 Dhidi ya KMC FC

May 14, 2025 ajirayako

Kocha Mkuu wa Simba SC Davids Fadlu ametoa kauli yake mara tu baada ya ushindi wao dhidi ya Simba SC. Simba SC ilipata ushindi wa 2-1 dhidi ya KMC FC…

Sport News

Wasimamizi wa Fei Toto Wanapitia Offer za Yanga na Simba, Azam Watoa Offer Nzito

May 13, 2025 ajirayako

So far Fei Toto bado hajasaini mkataba na Simba wala Yanga✍️ Wiki iliyopita Yanga walifanya kikao na famili ya Fei ili kumaliza tofauti zao. Mpaka sasa Fei ana ofa zote…

Habari za Michezo

Tetesi za soka Jumapili: Zubimendi akubali kujiunga na Arsenal

May 11, 2025 Soka Tanzania

Kiungo wa kati wa Real Sociedad Martin Zubimendi, 26, amekubali kwa mdomo kujiunga na Arsenal na mchezaji huyo wa kimataifa wa Uhispania ananuia kujiunga na The Gunners wakati kipengele chake…

Habari za Michezo Matokeo ya Simba

MATOKEO Simba Vs KMC Leo Tarehe 11 May 2025

May 11, 2025 Soka Tanzania

MC wa Kinondoni watamenyana na Simba katika Mechi ya Ligi Kuu Bara ya Tanzainia Mei 11. Kipindi kitaanza saa 16:00 kwa saa za kwenu. Mechi hiyo imeingia kipindi cha pili,…

Habari za Michezo

Kisa Simba, Yanga Wamwita Lameck Lawi Mezani

May 11, 2025 Soka Tanzania

BEKI wa kati na nahodha wa timu ya taifa ya vijana U20, Ngorongoro Heroes. Lameck Lawi, leo atakuwa uwanjani huko Misri, ili kukamilisha ratiba ya hatua ya makundi ya Kombe…

Habari za Michezo Kikosi cha Simba

KIKOSI cha Simba Vs KMC Leo Tarehe 11 May 2025

May 11, 2025 Soka Tanzania

KIKOSI cha Simba Vs KMC Leo Tarehe 11 May 2025 MC wa Kinondoni watamenyana na Simba katika Mechi ya Ligi Kuu Bara ya Tanzainia Mei 11. Kipindi kitaanza saa 16:00…

Habari za Michezo

Wasipo Angalia Magoli PACOME Ana Nafasi Kubwa ya Kuwa MVP Ligi Kuu NBC

May 11, 2025 Soka Tanzania

“Pacome namuona pia ana nafasi ya kuwa MVP,hii huenda ikamsaidia kama hawatoangalia namba,kuna wakati Bangala alishinda tuzo hiyo na hakuwa na mabao mengi hivyo kuwa na mabao mengi sio kigezi…

Habari za Michezo

Waziri Kabudi Atangaza Kuondolewa Kwa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

May 11, 2025 Soka Tanzania

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amemtangaza rasmi Bw. Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kumhamisha na kumpeleka Makao…

Posts pagination

1 … 8 9 10 … 294

Most Viewed Posts

  • Eng Hersi wa Yanga Aandikwa na Jarida Maarufu la African Learders
  • Rasmi Yanga wameachana na mbio za kumsaini Jean-Florent Ikwange Ibengé
  • Wasimamizi wa Fei Toto Wanapitia Offer za Yanga na Simba, Azam Watoa Offer Nzito
  • Mchezaji Aziz K Hana Baya, Aitabiria Simba Kuchukua Ubingwa Mwaka Huu
  • Rhulani Mokwena anaongoza orodha ya Makocha Wanao Windwa na Yanga

You missed

Habari za Michezo Magazeti ya Michezo

Aishi Manula Ndio Kipa Aliyeruhusu Magoli Mengi

June 7, 2025 SokaTanzania
Habari za Michezo Uncategorized

Tabwe: Singida Black Stars Itatwaa Ubingwa Msimu Huu

June 7, 2025 SokaTanzania
Uncategorized

Msimamo wa Yanga Endapo Itanyanganywa Pointi 15 Kwa Sababu ya Dabi ya Kariakoo

June 6, 2025 SokaTanzania
Habari za Michezo

Waarabu Waitibulia Yanga Dili la Mashine Hii ya Kumwaga Maji

June 5, 2025 SokaTanzania
SOKA TANZANIA

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.