Ipashwe Kusema tu Simba Leo Kapelekewa Moto, Rs Berkana Wamekamilika
Mpira Umeisha Simba Kafungwa 2 Bila na Rs Berkane, Tangu msimu huu uanze Simba hawajahi kukutana na quality kama hii ya Berkane,jamaa wamekamilika kila eneo,baada ya Simba kufanya mabadiliko kipindi…