Garnacho aambiwa atafute timu ya kuchezea msimu ujao
Meneja wa Manchester United, Ruben Amorim amewaambia wachezaji wa klabu hiyo kwamba ataendelea kusalia kuwa kocha wa klabu hiyo msimu ujao huku akiripotiwa kumwambia winga Alejandro Garnacho kutafuta klabu nyingine.…
Sunderland yapanda daraja kwenda ligi kuu England
Klabu ya Sunderland imepanda daraja kwenda Ligi Kuu England msimu ujao wa 2025/26 baada ya miaka 8 kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Sheffield United katika dimba la Wembley kwenye…
Diarra awagawa mabosi Yanga
YANGA inaendelea na mkakati wa kuuza mastaa na sasa staa mwingine ambaye anapasua vichwa vya mabosi ni kipa Djigui Diarra.Taarifa za Diarra ni kwamba ana hesabu za kutaka kuachana na…
Shabiki hivi haviruhusiwi uwanajani leo kwenye fainali CAFCC
Kwenye mchezo wa fainali Kombe la Shirikisho Afrika Kati Simba na RS Berkane utakaochezwa kwenye uwanja wa Amaan Complex kuanzia saa 10:00 Jioni, Shabiki huruhusiwi kwenda na vitu vyilivyotajwa kwenye…
CAF confederation cup final
NI Jumapili ya kihistoria. Macho na masikio ya Afrika yapo Zanzibar. Baada ya kufungwa mabao 2-0 ugenini, Simba inalazimika kushinda kwa tofauti ya mabao matatu iwapo inataka kutwaa taji hili…
Wydad AC yatambulisha watatu wapya,Aziz ki ndani
KLABU ya Wydad imewatambulisha nyota watatu wapya, akiwamo aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki waliojiunga na timu hiyo inayojiandaa na Michuano ya Kombe la Dunia kwa Klabu 2025…
Dk. Hussein Ali Mwinyi, kuizawadia Simba SC Sh279 milioni endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa CAFCC
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuizawadia Klabu ya Simba, Dola za Marekani 100, 000 (Sh279 milioni) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa…
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Al Hilal wanakaribia kutoa ofa ya pauni milioni 100 kwa Fernandes
Nahodha wa Manchester United Bruno Fernandes atapewa muda hadi wiki ijayo kuamua kama anataka kuondoka katika klabu hiyo, huku Al Hilal wakipanga kutoa takriban £100m kwa mchezaji huyo wa kimataifa…
Simba SC inafahamu la kufanya ili ‘kupindua meza’
Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids amesema wachezaji na jopo la ufundi wanafahamu fika wanachopaswa kukifanya katika mchezo wa marejeano wa fainali ya Kombe la Shrikisho Afrika ili kubadili…
Ndugu wa Mchezaji Victor Osimhen Wadai Kutelekezwa na Mchezaji Huyo
Ndugu wa Mchezaji Victor Osimhen Wadai Kutelekezwa na Mchezaji Huyo Familia ya mchezaji wa klabu ya Napoli ambaye anaitumikia Galatasaray kwa mkopo Victor Osimhen 🇳🇬 analalamikiwa na ndugu zake kwa…