Skip to content
SOKA TANZANIA

SOKA TANZANIA

Sports News From Tanzania

  • HOME
  • Habari za Michezo
  • Vikosi
  • Matokeo
  • Tetesi za Usajili
Ali Kamwe Habari za Michezo

Ali Kamwe: Tutacheza Dabi Endapo Simba Itasema Kwanini ilikimbia Mechi Machi 8

May 10, 2025 Soka Tanzania

Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe, amesema kuwa wao ni waungwana na wako tayari kucheza Dabi ya Kariakoo endapo watapewa maelezo ya kina kuhusu sababu za kuahirishwa kwa…

Habari za Michezo

Tuzo Zinampenda na Kumfuata Jean Charles Ahoua, MVP Yanukia….

May 10, 2025 Soka Tanzania

π“π”π™πŽ π™πˆππ€πŒπ…π”π€π“π€ π€π‡πŽπ”π€ βœ…Msimu uliopita Jean Charles Ahoua akiwa na Stella Club de Abidjan alifanikiwa kupachika mabao (12) huku akitoa pasi (9) za usaidizi wa mabao akuhusika kwenye mabao (21).…

Habari za Michezo

Dickson Job Mkataba Unaisha Yanga, Timu Hizi Zinamtaka….

May 10, 2025 Soka Tanzania

Taarifa zinathibitisha Kuwa Nahodha msaidizi wa Yanga Dickson Job amewatoa wasiwasi mabosi wa Klabu ya Yanga kuwa hana mpango wa kuondoka Yanga kwa sasa licha ya mkataba wake kumalizika mwishoni…

Habari za Michezo

Yanga Yafuata Kocha South Africa, Kuhusu Kocha Miloud Hamdi Ipo Hivi….

May 10, 2025 Soka Tanzania

WAKATI kukiwa na taarifa kwamba Yanga ina mpango wa kuwa na benchi jipya la ufundi kwa msimu ujao, taarifa zinadai kuwa mabosi wa timu hiyo wameshaanza harakati za kusaka mbadala…

Habari za Michezo

Huyu Hapa Mchezaji Mwenge Hattrick Nyingi Ligi Kuu….

May 10, 2025 Soka Tanzania

Huyu Hapa Mchezaji Mwenge Hattrick Nyingi Ligi Kuu…. Mchezaji wa timu ya Yanga Stephane Aziz Ki ndie mchezaji mwenye Hattrick nyingi kuliko wote wanaocheza ligi kuu hivi sasa Akiwa amefunga…

Habari za Michezo

Hakika Pamba Jiji Wamestahili Kufungwa Mabao 5 na Mnyama

May 8, 2025 Soka Tanzania

Pamba Jiji wamestahili kufungwa mabao 5 na Mnyama,Walikua na makosa mengi mno ya kiulinzii..mfano halisi ni nyanda wao…Walikua na makosa mengi na hawakua na umakini katika kuzuia na mipango yao…

Habari za Michezo

Simba Wanaendelea Kuburudika na Kiwango Kizuri cha Elie Mpanzu Ndani ya Uwanja..

May 8, 2025 Soka Tanzania

Elie Mpanzu Kibisawala mpira unamtii/mpira unamuheshimu sana. Leo kawa na kiwango kikubwa na kizuri mbele ya Pamba Jiji. Ni mchezaji aliyechezewa madhambi mengi. Alikua bora katika kupandisha vyema mashambulii na…

Habari za Siasa Papa Mpya

BREAKING:Moshi Mweupe Waonekana, Huyu Hapa Papa Mpya

May 8, 2025 Soka Tanzania

Kadinali wa Marekani Robert Francis Prevost ametangazwa kuwa Papa Mpya na atajulikana kama Papa Leo XIV. Imekuwa muda mrefu tangu kuwe na papa mwenye jina hili: Leo wa mwisho, Leo…

Khalid Aucho Magazeti ya Michezo

Simba Washinda 5-1 Dhidi ya TP Lindanda, Pamba Jiji Fc

May 8, 2025 Soka Tanzania

Simba Sc imeendelea kuvitafuna viporo vyake taratibu na hii leo wamechukua pointi zote tatu kufuatia ushindi mnono wa 5-1 dhidi ya TP Lindanda, Pamba Jiji Fc katika dimba la KMC…

Habari za Michezo Khalid Aucho

Khalid Aucho: Sitaki Mwanamke Anipende Sababu ya Pesa, Umaarufu

May 8, 2025 Soka Tanzania

Kiungo mkabaji wa Yanga, Khalid Aucho, ameweka wazi maisha yake binafsi kuwa hajaoa mpaka sasa, lakini anataka mwanamke ambaye atampenda kutoka moyoni na si kwa sababu ya pesa zake au…

Posts pagination

1 … 9 10 11 … 294

Most Viewed Posts

  • Eng Hersi wa Yanga Aandikwa na Jarida Maarufu la African Learders
  • Rasmi Yanga wameachana na mbio za kumsaini Jean-Florent Ikwange IbengΓ©
  • Wasimamizi wa Fei Toto Wanapitia Offer za Yanga na Simba, Azam Watoa Offer Nzito
  • Mchezaji Aziz K Hana Baya, Aitabiria Simba Kuchukua Ubingwa Mwaka Huu
  • Rhulani Mokwena anaongoza orodha ya Makocha Wanao Windwa na Yanga

You missed

Habari za Michezo Magazeti ya Michezo

Aishi Manula Ndio Kipa Aliyeruhusu Magoli Mengi

June 7, 2025 SokaTanzania
Habari za Michezo Uncategorized

Tabwe: Singida Black Stars Itatwaa Ubingwa Msimu Huu

June 7, 2025 SokaTanzania
Uncategorized

Msimamo wa Yanga Endapo Itanyanganywa Pointi 15 Kwa Sababu ya Dabi ya Kariakoo

June 6, 2025 SokaTanzania
Habari za Michezo

Waarabu Waitibulia Yanga Dili la Mashine Hii ya Kumwaga Maji

June 5, 2025 SokaTanzania
SOKA TANZANIA

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.