Nabii Aliyetabiri Simba Kufika Fainali CAF Atabiri Tena…..
Baada ya Simba Kutinga fainali CAFCC, Nabii wa Kanisa la The World of Reconciliation Ministries, Prophet Nicolaus Suguye, ameteka hisia za waumini na wapenzi wa soka baada ya kutabiri kwa…
Sports News From Tanzania
Baada ya Simba Kutinga fainali CAFCC, Nabii wa Kanisa la The World of Reconciliation Ministries, Prophet Nicolaus Suguye, ameteka hisia za waumini na wapenzi wa soka baada ya kutabiri kwa…
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba SC, Haji Manara, amerudi tena kwenye vichwa vya habari baada ya kutoa kauli kali mno kuhusu hali ya soka nchini Tanzania, kufuatia mechi kati…
MCHAMBUZI wa michezo Hans Rafael amegusia suala la waamuzi wa mpira Tanzania, Hans amesema “Miaka 100,TZ tuna shida ya waamuzi,mpira ni mchezo wa contact lazima watu wagusane siyo kila mguso…
Kwanza sio kweli kwamba Yanga wameshindwa kesi yao CAS, kilichoamuliwa na CAS ni kesi hii isikilizwe kwanza kwenye Kamati za ndani za Shirikisho la Mpira TFF Kilichofanya CAS washindwe kuisikiliza…
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, amejiuzulu rasmi nafasi ya Urais wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) ili…
Leo maamuzi mengi ya mwamuzi Kefa Kayombo yamewanyonga sana Mashujaa FC. Mara kadhaa Simba SC walikuwa wakinufaika na mipira ya Faulo ilihali ni miguso ya kawaida tu kiwanjani ila Kayombo…
MARCUS RASHFORD amesema kuwa yupo tayari kupunguza mshahara wake kwa kiasi kikubwa Ili akamilishe dili lake la kujiunga na klabu ya FC Barcelona katika dirisha kubwa lijalo la usajili. Rashford…
Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imeshindwa kwenye kesi yake ya awali iliyoifungua kwenye Mahakama ya Usuluhishi Michezoni (CAS). Yanga SC katika kesi ya msingi ikiyoifungua dhidi ya TFF,…
“Tayari niko katika Jiji la Albert Chalamila. Nilikuwa na wiki moja nzuri ndani ya Afrika Kusini. Moja ya kitu nilichorudi nacho ni jina la staa wa Azam FC na Taifa…
Tanzania imeanza vibaya michuano ya UFCON U-20 inayoendelea nchini Misri baada ya kikosi cha timu hiyo kinachonolewa na Charles Mkwasa kupokea kichapo cha 1-0 dhidi ya Afrika Kusini kwenye mchezo…