Shaffih Dauda: Hakuna Beki wa Kulia Tanzania Mkali Kama Shomari Kapombe
Nimepata kuwashuhudia walinzi wengi wa kulia wakicheza soka kwenye ardhi hii ya Tanzania hapa nazungumzia wazawa na hata waliokuja wakitokea nje ya Tanzania Lakini hayupo mlinzi wa kulia mwenye mwendelezo…