Muunganiko wa Chama na Pacome Noma, Sureboy, Maxi Nzengeli Nao Wan’gara Leo
SIMPLE kwasasa ni ngumu kukabiliana na Yanga yenye Chama & Pacome : wanaifanikisha timu kufika kwenye eneo la mwisho kwa urahisi sana . Utulivu wakiwa na mpira , Pasia mpira…