KIKOSI cha Yanga Vs Simba Leo Tarehe 25 June 2025
KIKOSI cha Yanga Vs Simba Leo Tarehe 25 June 2025 Young Africans itamenyana na Simba katika Mechi ya Ligi Kuu Bara ya Tanzainia Juni 25. Mchujo huo umepangwa kuanzia saa…
BREAKING: Hatimaye Simba Wathibitisha Kucheza na Yanga Leo
BREAKING: Hatimaye Simba Wathibitisha Kucheza na Yanga Leo Simba SC imetangaza kucheza mchezo wa Dabi ya Kariakoo utakaofanyika leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Simba kupitia ukurasa…
Leo Makocha Fadlu na Hamid Vita Kubwa ya Uzoefu
NAJARIBU KUWAZA KUHUSU UZOEFU! Watu wa boli hivi naweza kuwa nafikiria vizuri kweli? Ipo wazi Derby ina uzoefu wake. Kocha ambae ameshasimamia timu kwenye Derby kadhaa ni tofauti na kocha…
Jeshi la Polisi: Marufuku Kuja na Silaa Dabi ya Kariakoo Leo Kwa Mkapa
Jeshi la Polisi: Marufuku Kuja na Silaa Dabi ya Kariakoo Leo Kwa Mkapa Kuelekea mchezo wa soka wa Dabi ya Kariakoo kati ya klabu ya Yanga Sc dhidi ya Simba…
BREAKING: Yanga Wamekamilisha Usajili wa Kiungo Hatari wa Slovan Liberec ya jamhuri ya Czech, Mohamed Doumbia
BREAKING NEWS🚨Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo hatari wa Slovan Liberec ya jamhuri ya Czech,Mohamed Doumbia (26)✅ Kiungo huyo ni raia wa Ivory Coast🇨🇮 Doumbia ni kiungo namba #8 kwenye uwezo…
Simba Wagoma Kutokea Kwenye Press Conference ya Leo Kwa Ajili ya Mchezo wa Dabi Kesho
Asubuhi ya leo ilipangwa kufanyika pre match conference, lakini katika mazingira yasiyo ya kawaida Simba SC hawajatokea eneo la tukio maana yake hawajafanya mahojiano na vyombo vya habari kuelekea Mechi…
Yanga, Simba na Azam Vita Nzito Kumsajili Mchezaji Huyu
Kuna vita kubwa sana kati ya Simba,Yanga na Azam kwa mshambuliaji wa Ivory Coastal,Célestin Ecua(23). Msimu uliopita Ecua alifunga goli 11 za ligi huku akishika nafasi ya pili kwenye orodha…
SportPesa yaweka historia Tanzania: Jackpot ya TSh 1.2 bilioni yafungua mlango wa mabilionea – Odds kali za Kombe la Dunia zawaka moto!
SportPesa yaweka historia Tanzania: Jackpot ya TSh 1.2 bilioni yafungua mlango wa mabilionea – Odds kali za Kombe la Dunia zawaka moto!Historia mpya ya michezo ya kubashiri imeandikwa Tanzania. Kwa…
Mchambuzi Hansrafael Aishangaa Bodi ya Ligi Kuleta Refa wa Misri Kuchezesha Dabi ya Kariakoo
Mchambuzi Hansrafael Aishangaa Bodi ya Ligi Kuleta Refa wa Misri Kuchezesha Dabi ya Kariakoo Hapa najiuliza maswali mengi kwanini ligj yetu inaendeshwa kinyume na kanuni?🤔 4.Je,Timu itakayopoteza mchezo, ikikata rufaa…
Bodi ya Ligi Yatangaza Watakao Chezesha Dabi ya Kariakoo, Refa Kutoka nje ya Nchi
Dabi ya Kariakoo ni moja ya michezo mikubwa na yenye mvuto zaidi katika soka la Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki, ambapo hushuhudia upinzani mkali kati ya klabu kongwe zenye…