Wed. Nov 5th, 2025

Yanga imetwaa ubingwa kwa kumchapa Mtani mechi zote mbili..

Ubora wa kikosi cha Yanga umewapa ubingwa.. Hongera Yanga kwa ubingwa.. Hongera Simba kwa kumpa Yanga ushindani mpaka dakika ya mwisho

Magoli ya Leo yamefungwa na Pacome na Clement Mzize

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *