Hans Rafael; Singida Walistahili Kupigwa Goli 9
HANS RAFAEL anasema kuwa “Kuna muda nashindwa kuelewa Wachezaji wa Yanga wanakula nini?” “Msimu huu wamecheza mechi zaidi ya 50 kwenye mashindano yote ila ukitazama kasi, utashi, Concentration, pressing na…
Yanga Bingwa CRDB Shirikisho Cup, Rekodi Yao Yatisha
YOUNG AFRICANS KIHISTORIA NI TAJI LAO LA TISA/ TANGU LIWE CRDB NI TAJI LAO LA TANO 🏆 Rekodi za Yanga kubeba ubingwa wa Shirikisho (FA)1967-: Yanga1974-: Yanga1999-: Yanga2001-: Yanga 2015-2016-:…
MATOKEO Yanga Vs Singida Black Stars Leo Tarehe 29 June 2025
MATOKEO Yanga Vs Singida Black Stars Leo Tarehe 29 June 2025 Juni 29, Young Africans watakuwa wenyeji wa Singida Black Stars katika michuano ya Kombe la Shirikisho Tanzania. Mechi itaanza…
KIKOSI cha Yanga Vs Singida Black Stars Leo Tarehe 29 June 2025
KIKOSI cha Yanga Vs Singida Black Stars Leo Tarehe 29 June 2025 Juni 29, Young Africans watakuwa wenyeji wa Singida Black Stars katika michuano ya Kombe la Shirikisho Tanzania. Mechi…
Kizuri Akikubaliki Kwao, Mzize ilitakiwa Aimbwe Kila Kona Kwa Umahiri Wake ilaa…
Clement Mzize amecheza misimu miwili (2) akiwasumbua wachezaji wa kigeni ambao ndiyo ulikuwa uti wa mgongo wa Yanga. Tangu ameingia kwenye kikosi cha wakubwa September 13,2022 akitoka kunolewa na Said…
Kocha Miloud Hamdi Anaijua Sana Singida Black Stars, Yanga Itaua Mtu Leo
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miloud Hamdi amezifundisha timu zote mbili (Yanga na Singida Black Stars) kwa nyakati tofauti. Miloud hakufanikiwa kuiongoza Singida Black Stars kwenye mchezo wowote tangu…
Where Are You Madam Babra Gonzalez?, Simba Wanahitaji Mtu Mwenye Maono na Mikakati Mizuri
Where Are You Madam Babra Gonzalez?, Simba Wanahitaji Mtu Mwenye Maono na Mikakati Mizuri Miongoni mwa viongozi ambao wanaweza kuchuana aghalau na Rais wa Yanga @caamil_88 ni huyu madam CEO…
Yanga Wagomea Karia Kugombea Tena Urais TFF
Young Africans Sc imemuwekea pingamizi Rais wa TFF Wallace Karia na pingamizi hilo limewasilishwa ofisi za TFF saa 9:30 Alasiri ya leo likiwa limesainiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wao (CEO)…
Kimenuka Simba, Baadhi Wataka Mangungu Ajiuzulu, Mwenyewe Afunguka Haya
Mwanachama wa klabu ya Simba SC Dinnah amesema kuwa kitendo cha timu ya Simba SC kukaa misimu minne bila kikombe kinatosha kwa Mwenyekiti wao Murtaza Mangungu kungatuka madarakani. Mwanachama huyo…
Ahmed Ally Atoa Ujumbe Huu Kwa Mashabiki wa Simba, Tusijidharau Kwa Kufungwa Mara 5
Ahmed Ally Atoa Ujumbe Huu Kwa Mashabiki wa Simba, Tusijidharau Kwa Kufungwa Mara 5 Msemaji wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally, amevunja ukimya baada ya klabu hiyo kushindwa kutwaa ubingwa…