Klabu ya Azam Fc Imetinga Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)
Klabu ya Azam Fc imetinga raundi ya pili ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kufuatia ushindi wa jumla wa 4-0 dhidi ya EL Merriekh Bentiu ya Sudan Kusini Waoka mikate…
Klabu ya Azam Fc imetinga raundi ya pili ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kufuatia ushindi wa jumla wa 4-0 dhidi ya EL Merriekh Bentiu ya Sudan Kusini Waoka mikate…
Anaandika @kelvinrabson_ ✍️ Nafikiri Yanga SC wanatakiwa kuboresha zaidi hasa pale wasipokuwa na mpira , kuna nafasi kubwa kwenye maeneo yote matatu ilikuwa rahisi kwa Wiliete kuifikia defense ya yao…
Usajili wa Balla Conte unanikumbusha usajili wa Aziz Ki miaka kadhaa iliyopita. Aziz alikuja kwa hype kubwa na Siyo kwa bahati mbaya ila usajili wake ulikuwa na vita kubwa kwani…
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri na Orlando Pirates ,ya Afrika Kusini José Ribeiro ndiye mgombea anayeongoza kuwa Kocha Mpya wa Simba SC Simu zinaita simba wanahitaji huduma…
Joel Lwaga akasirika: Walokole msinipande kichwani, mmemtelekeza Boni Mwaitege, msinipangie
Young Africans itamenyana na Wiliete katika Awali ya Ligi ya Mabingwa Septemba 27, mechi itaanza saa 18:00 kwa saa za kwenu. Huu ni mguu wa mwisho wa vita vyao vya…
MATOKEO Yanga Vs Wiliete Leo Tarehe 27 Sept 2025 Young Africans itamenyana na Wiliete katika Awali ya Ligi ya Mabingwa Septemba 27, mechi itaanza saa 18:00 kwa saa za kwenu.…
Yanga SC imetangaza rasmi viingilio vya mechi yao ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wiliete SC kutoka Angola, mchezo unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi tarehe 27 Septemba 2025 katika…
Ki ufupi haikuwa vita ya karibu sana kama tulivyo dhani. Hizi ndio alama za jumla za BALLON D`OR 2025 Dembele alimuacha Yamal kwa kura 321 kura nyingi sana
Yanga SC imetoa toleo la pili la jezi zao za msimu baada ya jezi zote za toleo la kwanza kuisha, Yanga imewapiga chenga ya mwili wauza jezi feki ambao wameingiza…