Ali Kamwe Awakata Midomo Wanaosema Kocha Folz Anaondoka Yanga
Yanga Ni Team Kubwa Sana Tena Kubwa Mnooš°Kamwe Hawezi Fanya Maamuzi Kwa Kukurupuka kisa Mitandaoni Kukojee Big Nooooooā Yanga Iko Imara na Inajua Nini Inafanya Na Nin Kifanyike Sio kufata…