Msaidizi wa Gamondi Taifa Stars huyu hapa
Dar es Salaam. Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally ndiye atamsaidia Miguel Gamondi katika benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.Gamondi alitangazwa jana kuwa Kaimu Kocha…
Dar es Salaam. Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally ndiye atamsaidia Miguel Gamondi katika benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.Gamondi alitangazwa jana kuwa Kaimu Kocha…
Haya ni maamuzi magumu ambayo yamefanywa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF ya kuachana na Hemed Morocco Ukiacha maamuzi magumu pia wamefanya chaguo sahihi la kumchukua Miguel angel…
Aliyekuwa Nyota wa Simba Arejea Tanzania! Safari Hii Anakuja Kuwakabili Yanga — Moto Unawaka CAF Champions League! Mashabiki wa soka nchini Tanzania wanapaswa kujiandaa kwa burudani ya moto katika Ligi…
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Kocha wa Singida Black Stars, Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina kuwa Kaimu kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa…
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Kocha wa Singida Black Stars, Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina kuwa Kaimu kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa…
Timu ya Simba SC ya Tanzania imepangwa katika kundi D la michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) na itaanza kampeni zake kwa kukutana na Petro Luanda ya…
Miaka miwili nyuma Pape Sakho anaitwa kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha wakubwa timu ya taifa ya Senegal ilikuwa kama ndoto na kumfanya awe mchezaji pekee ambaye anacheza ligi…
Nchini Zambia, Serikali imesitisha msaada wake wa kifedha kwa timu ya taifa. Uamuzi huu unakuja hasa baada ya Chipolopolo kupata kichapo nyumbani cha bao 1-0 dhidi ya Niger. Katika barua…
𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈: Klabu ya Yanga Sc imemtambulisha kocha Patrick Mabedi kama kocha msaidizi klabuni hapo kwa ajili ya kusaidiana na kocha mkuu Roman Folz. Mabedi (51),raia wa Malawi amewahi kufanya kazi…
Unaweza ukagundua sura ya wanaume kwenye hii picha ? Hiki ndicho kitu ambacho Iran walikuwa wanatuhumiwa nacho. Imepita miaka 10 tangu Iran walipotuhumiwa kuwachezesha wachezaji wa kiume kwenye timu ya…