TIMU ya Wanawake ya JKT Queens Yaifunga SIMBA na Kutwaa Kombe
TIMU ya Wanawake ya JKT Queens imefanikiwa kutetea ubingwa wa Ngao ya Jamii 2025 kwa Wanawake kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Simba Queens kwenye fainali katika dimba la KMC…
TIMU ya Wanawake ya JKT Queens imefanikiwa kutetea ubingwa wa Ngao ya Jamii 2025 kwa Wanawake kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Simba Queens kwenye fainali katika dimba la KMC…
KUNA hesabu kubwa zinaendelea ndani ya Yanga, uongozi wa klabu hiyo unaendelea na majadiliano ya kumpata kocha mpya, huku ikielezwa kwamba endapo utamalizana na Romain Folz, basi Romuald Rakotondrabe ‘Roro’…
Yanga Ni Team Kubwa Sana Tena Kubwa Mnoo🔰Kamwe Hawezi Fanya Maamuzi Kwa Kukurupuka kisa Mitandaoni Kukojee Big Noooooo❌ Yanga Iko Imara na Inajua Nini Inafanya Na Nin Kifanyike Sio kufata…
Dar es Salaam, Oktoba 10, 2025 — Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia Kamati yake ya Uchaguzi, limetangaza orodha ya awali ya wagombea waliorejesha fomu za kuwania nafasi…
Pappy Tshishimbi : Naichukia Sana Simba Walinifanyia Figisu Nikatemwa Yanga Kiungo wa zamani wa Yanga Pappy Kabamba Tshishimbi ameonekana kujuta na kukiri kuwakosea watu waliomuamini wakati anatua Tanzania Yanga “Ile…
Nimeangalia kiwango chake cha msimu huu naona kimeendelea pale alipoishia katika msimu uliopita. Hajakuwa na maajabu mengi. Hana maamuzi mazuri. Na katika kitu ambacho nimekuwa nikimlaumu Mpanzu tangu msimu ulioisha…
Baada ya Kocha Nasserdin Nabi kuiacha kwenye mataa Klabu ya Kaizer Chiefs mawiki kadhaa nyuma Klabu hiyo bado inaonekana kusua sua kupata matokeo mazuri ikiwa chini ya waliokuwa wasaidizi wake…
Taarifa Kutoka kwenye Chanzo changu chenye hofu ya muda kimeniambia Yanga SC wameshamfuta kazi Romain Folz na kwasasa yupo nchini Afrika ya kusini. Soon wanamtangaza kocha mpya kwaajili ya kuiandaa…
Klabu ya Simba Sc imemtambulisha kocha Dimitri Pantev kama meneja wa timu hiyo huku vyanzo vikieleza kocha mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi atakuwa Selemani Matola kwenye makaratasi ingawa Pandev…
“Tangu niwe kocha, sijawahi kukutana na mpinzani mgumu kumkabili kama Young Africans.. Kiukwelil naipenda Tanzania ni Nchi nzuri yenye kila aina ya maisha, nitaïkumbuka Daima lakini pia ile Young Africans…