Edo Kumwembe: Atakayefunga Frii Kiki Nne Ligi Kuu Nampa Milioni Moja
LEGEND, Edo Kumwembe: โNaweka ahadi ya shilingi milioni moja kwa mchezaji yeyote wa ligi kuu ya Tanzania ambaye atafunga mabao matatu au manne ya frii kiki katika msimu huu. Nadhani…
Zambia Yasitisha Kuifadhili TIMU ya Taifa Baada ya Kuondoshwa Kombe la Dunia
Nchini Zambia, Serikali imesitisha msaada wake wa kifedha kwa timu ya taifa. Uamuzi huu unakuja hasa baada ya Chipolopolo kupata kichapo nyumbani cha bao 1-0 dhidi ya Niger. Katika barua…
Yanga Yamtambulisha Kocha Mpya Msaidizi
๐๐๐๐๐: Klabu ya Yanga Sc imemtambulisha kocha Patrick Mabedi kama kocha msaidizi klabuni hapo kwa ajili ya kusaidiana na kocha mkuu Roman Folz. Mabedi (51),raia wa Malawi amewahi kufanya kazi…

Kocha Romain Folz Aletewa Msaidizi Mpya Yanga….
UPDATE: kama nilivyoripoti juzi kwamba Romain Foiz,ataletewa msaidiziโฆhatimae Leo Yangaโฆ..wamemtambulisha kocha Patrick Mabedi kujiunga na benchi la Ufundi la Romain Folz akitokea kwenye timu ya Taifa ya Malawi. Kocha huyo…
Wachezaji Nane wa TIMU ya Taifa ya Wanawake IRAN Walikuwa ni Wanaume
Unaweza ukagundua sura ya wanaume kwenye hii picha ? Hiki ndicho kitu ambacho Iran walikuwa wanatuhumiwa nacho. Imepita miaka 10 tangu Iran walipotuhumiwa kuwachezesha wachezaji wa kiume kwenye timu ya…
TIMU ya Wanawake ya JKT Queens Yaifunga SIMBA na Kutwaa Kombe
TIMU ya Wanawake ya JKT Queens imefanikiwa kutetea ubingwa wa Ngao ya Jamii 2025 kwa Wanawake kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Simba Queens kwenye fainali katika dimba la KMC…
Kuhusu Kocha Ibenge Kutaka Muda Kuisuka AZAM FC Kuwa Moto Barani Afrika
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge amesema bado wachezaji wanaendelea kuzisoma falsafa zake, lakini anaamini kadri muda unavyokwenda watakuwa bora zaidi na wenye ushindani wa hali ya juu. Ibenge…
Uzuri na Udhaifu wa Kocha Huyu Anayetajwa Kuja Yanga Kuchukua Nafasi ya Folz
KUNA hesabu kubwa zinaendelea ndani ya Yanga, uongozi wa klabu hiyo unaendelea na majadiliano ya kumpata kocha mpya, huku ikielezwa kwamba endapo utamalizana na Romain Folz, basi Romuald Rakotondrabe โRoroโ…