Kocha Romain Folz Yupo Afrika Kusini Soon Yanga Watatoa Taarifa ya Kumfuta Kazi
Taarifa Kutoka kwenye Chanzo changu chenye hofu ya muda kimeniambia Yanga SC wameshamfuta kazi Romain Folz na kwasasa yupo nchini Afrika ya kusini. Soon wanamtangaza kocha mpya kwaajili ya kuiandaa…
Diddy Ahukumiwa Miaka 4 Jela kwa Kesi ya Usafirishaji wa Wanawake
Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Sean ‘Diddy’ Combs amehukumiwa kwenda jela miezi 50 (sawa na miaka 4 na miezi 2) baada ya kukutwa na hatia katika makosa…
Simba Yamtambulisha Dimitri Pantev, Sintofahamu Yatawala Nani Kocha Mkuu
Klabu ya Simba Sc imemtambulisha kocha Dimitri Pantev kama meneja wa timu hiyo huku vyanzo vikieleza kocha mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi atakuwa Selemani Matola kwenye makaratasi ingawa Pandev…
Simba Yamtambulisha Dimitri Pantev, Sintofahamu Yatawala Nani Kocha Mkuu
Klabu ya Simba Sc imemtambulisha kocha Dimitri Pantev kama meneja wa timu hiyo huku vyanzo vikieleza kocha mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi atakuwa Selemani Matola kwenye makaratasi ingawa Pandev…
Kocha Fadlu ‘Tangu Niwe Kocha Sijawahi Kukutana na Timu Kama Yanga’
“Tangu niwe kocha, sijawahi kukutana na mpinzani mgumu kumkabili kama Young Africans.. Kiukwelil naipenda Tanzania ni Nchi nzuri yenye kila aina ya maisha, nitaïkumbuka Daima lakini pia ile Young Africans…
Seleman Mwalimu Gomez ni Balaa, Anahitaji tu Muda na Nafasi Ndani ya Simba, Tanzania Itamuimba
Natamani Tanzania ingekuwa kama Uingereza namna ambavyo wamekuwa na moyo mkunjufu wa kuwasapoti wachezaji wao wa kizawa na kuwapa promo kubwa kuliko hata uwezo wa mchezaji Ukweli ukimuangalia namna ambavyo…
Simba na Yanga Waangukia Pua Kumpata Kocha wa Boli, Afunguka
Mara baada ya kocha mkuu wa Yangasc Romain Folz kuwa na kiwango ambacho sio cha kuridhisha kwenye michezo kadha ambayo ameisimamia klabu hiyo hatimaye uongozi wa Yangasc umeanza mchakato wa…
KLABU ya JKT Tanzania Wafunguka Kuhusu Tetesi za Kocha Wao Kutakiwa na Mnyama Simba
KLABU ya JKT Tanzania imeweka wazi hatma ya kocha wao, Ahmad Ally, kufuatia tetesi na maswali mengi yaliyoibuka mitandaoni kuhusu Kocha huyo kuhitajika na Klabu ya Simba SC. Kupitia taarifa…
Msemaji Ahmed Ally Kwenye Kikao cha Kumfukuza Kocha Folz
Kwenye kikao cha kumfukuza Kocha Foili kilichofanyika jana Mbeya kwenye Hoteli iliyopo Mafiati Kocha kauliza mnanifukuza kwani mimi ndio nimesajili Wastaafu? Wakajibu hapana, akauliza tena mimi ndio nimesajili Streka mechi…
Yanga Warejea Dar Baada Ya Kulazimishwa Sare Na Mbeya City
Kikosi cha Yanga SC kimewasili jijini Dar es Salaam baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, Septemba 30, 2025, ambapo walitoka suluhu ya…