Klabu ya PSG Imeshinda Tuzo ya Timu Bora ya Mwaka 2025, Luis Enrique Kocha Bora Ballon dโOr
Klabu ya Paris Saint-German imeshinda tuzo ya timu bora ya mwaka 2025 kwenye hafla ya tuzo ya Ballon dโOr huko Paris huku kocha wa Timu hiyo, Luis Enrique akitwaa tuzo…
Roma Mkatoliki Amchana Joh Makini Kuhusu Kurap Style Moja ‘Hakuna Anayeupa Umakini Muziki Wako’
Roma Mkatoliki amchana Joh makini kuhusu kurap Style Moja”hakuna anayeupa umakini muziki wako”
๐๐๐๐๐: Winga wa PSG, Ousmane Dembele Ashinda Tuzo ya Ballon dโOr 2025
๐๐๐๐๐: Winga wa Paris Saint-German, Ousmane Dembele ameshinda tuzo ya Ballon dโOr 2025 kama mchezaji bora wa mwaka na kumbwaga Lamine Yamal wa Barcelona. MSIMAMO WA TUZO YA BALLON DโOR…
Simba Wamtangaza Kocha Hemed Morocco Kuwa Kocha wa Muda
Taarifa kwa Umma kutoka klabu ya Simba SC juu ya Kocha wa Muda wa klabu hiyo. Klabu ya Simba inamtangaza, Hemed Suleiman maarufu Morocco kuwa Kocha wa muda ‘Caretaker wa…
Heshima Aliyopewa Fadlu Akitambulishwa Raja Casablanca, Hata Wewe Ungeenda
Raja Club Athletic wamemtambulisha aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, kama kocha wao mkuu mpya. โ๏ธ ๐ข Katika taarifa yao rasmi, Raja walisema:“Davids alikuwa miongoni mwa watu muhimu…
SIMBA Wathibitisha Kuachana na Kocha FADLU, Hii Hapa Taarifa Rasmi
Klabu ya Simba Sc imethibitisha umefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na kocha Mkuu Fadlu Davids kama kocha mkuu klabuni hapo na kubainisha kwamba makubaliano hayo ni matakwa binafsi ya kocha…
Ahmed Ally Afunguka: Kuondoka Kwa FADLU Hakuipunguzii SIMBA Chochote
KUONDOKA KWA FADLU: โโฆ.hakuna mahali popote ambapo klabu yetu itaathirikaโฆ..tunakwenda kutafuta kocha bora zaidi ambaye ataifikisha Simba kwenye nchi ya ahadiโ Simba SC yatoa ufafanuzi kuhusu kuondoka kwa kocha wake…
Hawa Hapa Makocha Wanaodaiwa Kuwindwa na Simba Mpaka Sasa…
Habari Mpya Kuhusu Kocha Mpya wa Simba SC Mpaka sasa taarifa nilizonazo ni kwamba makocha wanne wanatajwa kuwania nafasi ya urithi wa mikoba ya kocha Fadlu Davids ndani ya Simba…
Edo Kumwembe: Mpira wa Kocha Fadlu Haujawahi Nivutia, Hana Lolote
Sidhani kama Simba wana kitu kikubwa cha kupoteza katika hili. Kuna kocha huwa anawaweka katika wakati mgumu akiamua kuondoka zake. Kuna aina ya mpira anaweza kuondoka nayo. Hadi sasa hatutajua…
Paul Makonda Akiri Kupea Sumu Mwaka 2024
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amekiri kulishwa sumu mwaka 2024 hali iliyomsababishia kulazwa Hospitalini na kutoonekana hadharani ambapo amesema kama isingekuwa Rais Samia…