
Habari Mpya Kuhusu Kocha Mpya wa Simba SC
Mpaka sasa taarifa nilizonazo ni kwamba makocha wanne wanatajwa kuwania nafasi ya urithi wa mikoba ya kocha Fadlu Davids ndani ya Simba SC.
👤 Romuald Rakotondrabe – Kocha Mkuu wa Madagascar
👤 Benni McCarthy – Kocha Mkuu wa Kenya
👤 Miguel Gamondi- Kocha mkuu Singida
👤 Ahmad Ally – Kocha Mkuu wa JKT Tanzania
Kwa sasa, Simba SC ipo kwenye mchakato wa mazungumzo ya kina na mmoja kati ya makocha hawa ili kuamua nani atakayekabidhiwa majukumu ya kuiongoza timu hiyo kubwa ya Wanasimba.