Itakuwa ni Aibu Kubwa Kama Simba na Yanga Watashindwa Kuvuka Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa CAF
KOCHA wa Chippa United, Luc Eymael amesema itakuwa ni aibu kwa Romain Folz na Dimitar Pantev kama Yanga na Simba zitashindwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Eymael,…