Azam Walihitaji Kocha wa Namna Hii kwa Muda Mrefuโฆ.na Leo Ndoto Imetimia
Kila kitu kina bei yake,ukitaka vitu vizuri lazima umwage hela na ufanye scouting ya maana. Azam walipohitaji kutinga kwenye makundi walimwaga hela na kumpata kocha ambae ni mshindi halisi (Ibenge)…