Ahmed Ally Afunguka: Kuondoka Kwa FADLU Hakuipunguzii SIMBA Chochote
KUONDOKA KWA FADLU: “….hakuna mahali popote ambapo klabu yetu itaathirika…..tunakwenda kutafuta kocha bora zaidi ambaye ataifikisha Simba kwenye nchi ya ahadi” Simba SC yatoa ufafanuzi kuhusu kuondoka kwa kocha wake…