Golikipa Camara Uhakika Kipa Bora Ligi Kuu Bara
Golikipa Camara Uhakika Kipa Bora Ligi Kuu Bara Kitendo cha Simba kushinda 5-0, kimemfanya kipa namba moja wa kikosi hicho, Moussa Camara kujihakikishia tuzo ya Kipa Bora wa Msimu kwa…
Vita ni Nzito Ligi Kuu Bara, Yanga, Simba na Azam Wagawa Dozi Tano Tano
Yanga wameshinda goli 5-0 dhidi ya Tanzania Prison ambapo magoli yamefungwa na Mudathir Yahya na Clatous Chama,Pacome Zouzoua goli 2 na Israel Mwenda. Upande wa Simba pale mkoani Tabora ni…
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: Gyokeres Atishia Kugoma ili Kuondoka Sporting
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: Gyokeres atishia kugoma ili kuondoka SportingMshambuliaji wa Sporting anayewaniwa na Arsenal na Manchester United Viktor Gyokeres, 27, amekataa kufanya mazungumzo ya wazi na kutishia kugoma…
Msimamo wa Ligi Kuu Baada ya Simba na Yanga Kushinda 5
Baada ya kumalizika kwa mechi za wiki ya 29 za Ligi Kuu Tanzania Bara mnamo Juni 18, 2025, hali ya msimamo wa ligi imekuwa ya kusisimua huku ushindani ukiendelea kuwa…
KIKOSI Cha Simba Vs KenGold Leo Tarehe 18 June 2025
KIKOSI Cha Simba Vs KenGold Leo Tarehe 18 June 2025 Katika mechi ya Ligi Kuu Bara, KenGold itakutana na Simba Juni 18. Kipindi cha kwanza kimeratibiwa saa 16:00 kwa saa…
MATOKEO Simba Vs KenGold Leo Tarehe 18 June 2025
MATOKEO Simba Vs KenGold Leo Tarehe 18 June 2025 Katika mechi ya Ligi Kuu Bara, KenGold itakutana na Simba Juni 18. Kipindi cha kwanza kimeratibiwa saa 16:00 kwa saa za…
KIKOSI Cha Yanga Vs Tanzania Prisons Leo Tarehe 18 June 2025
KIKOSI Cha Yanga Vs Tanzania Prisons Leo Tarehe 18 June 2025 Tanzania Prisons itamenyana na Young Africans katika mechi ya Ligi Kuu Bara ya Tanzainia Juni 18. Mechi hiyo inatarajiwa…
MATOKEO Yanga Vs Tanzania Prisons Leo Tarehe 18 June 2025
MATOKEO Yanga Vs Tanzania Prisons Leo Tarehe 18 June 2025 Tanzania Prisons itamenyana na Young Africans katika mechi ya Ligi Kuu Bara ya Tanzainia Juni 18. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza…
Kocha Florent Ibenge Achukuliwa na Azam Kuwa Kocha Mkuu
Klabu ya Azam FC imefikia makubaliano ya kumuajiri Kocha Florent Ibenge kutoka DR Congo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Baada ya makubaliano kukamilika, Ibenge ameondoka nchini na kwa sasa…
Mgogoro wa Derby ya Kariakoo Wafika FIFA, TFF Kuchunguzwa
Mgogoro wa Derby ya Kariakoo Wafika FIFA, TFF Kuchunguzwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) linatarajia Kufanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi…