TFF Yatangaza Viingilio Ngao ya Jamii Simba vs Yanga
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ngao ya Jamii utakaowakutanisha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC, dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC,…
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ngao ya Jamii utakaowakutanisha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC, dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC,…
Klabu ya Yanga Sc imepata ahueni baada ya mchezo wao wa kuwania kufuzu hatua ya makundi dhidi ya Wiliete Benguela kuelezwa kupigwa katika jiji la Luanda kati ya Septemba 19-21…
Klabu ya Singida Black Stars (Singida BS) imepiga hatua kubwa katika historia yake ya ushiriki wa mashindano ya kimataifa baada ya kufuzu fainali ya CECAFA Kagame Cup. Timu hiyo kutoka…
BAADA ya Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ kuondoka Simba, timu aliyoitumikia kwa takribani miaka kumi, sasa kuelekea msimu wa 2025-2026, mikoba yake ipo kwa David Kameta ‘Duchu’.Tshabalala ambaye alikuwa nahodha wa Simba,…
Ukweli nadhani kama ambavyo wachezaji wanapandishwa thamani na kusajiliwa kwa gharama kubwa basi @ahmedally_ anapaswa kupewa treatment sawaa na wachezaji tena wale ambao ni high quality kabisa. Mtu ambaye pia…
Baada ya Klabu ya Simba SC kutangaza mapema kwamba ingewatambulisha na kuwaaga rasmi wachezaji wake wa muda mrefu, Jonas Mkude na John Bocco, hali imekuwa tofauti na matarajio ya wanachama…
Thamani ya klabu za soka barani Afrika inazidi kukua mwaka hadi mwaka kutokana na uwekezaji mkubwa wa kifedha, mapato ya kibiashara, uuzaji wa bidhaa, pamoja na mafanikio katika mashindano ya…
Explosive Winga mwenye mikato ya wembe,mguu wake wa kushoto una kata zaidi ya kisu cha buchani,anajua muda wa kukimbia sana na muda wa kupooza ili ku-link up na wenzake. Kwenye…
Utambulisho wa mchezaji Zimbwe ndio ulioibua shangwe kubwa zaidi ndani ya uwanja wa Benjamin Mkapa. Hata hivyo, kati ya mambo yaliyoonekana kufurahisha zaidi ni tabasamu la Mohamed Hussein, ambaye alionekana…
Klabu ya Azam Fc imetangaza kumsainisha kiungo Faisal Salum ‘Feitoto’ nyongeza ya mkataba mpya wa mwaka mmoja utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027. Mkataba wa awali wa nyota huyo wa…