December 20, 2025

Ukisikia Ball Dencer Basi Likumbuke Jina la Selestine Ecua…..That Dude is The Pure Footballer

Explosive Winga mwenye mikato ya wembe,mguu wake wa kushoto una kata zaidi ya kisu cha buchani,anajua muda wa kukimbia sana na muda wa kupooza ili ku-link up na wenzake.

Kwenye 1v1 ni kiyama kukabiriana nae,Ukisikia Ball dencer basi likumbuke jina la Selestine Ecua…..that dude is the pure footballer 🖐️

Hili ni Balaa jingine Tanzania 😄

By Hans Rafael