Ahmed Ally Afunguka: Ni Wakati Sahihi Kwa Mohamed Hussein Kuondoka Simba
Ahmed Ally

Ukweli nadhani kama ambavyo wachezaji wanapandishwa thamani na kusajiliwa kwa gharama kubwa basi @ahmedally_ anapaswa kupewa treatment sawaa na wachezaji tena wale ambao ni high quality kabisa.

Mtu ambaye pia alikaa chini na kuja na wazo la kwamba #AhmedAlly ndio awe afisa habari wa SIMBA basi apewe tuzo ( Nadhani ndio wangempa huyo nafasi hata ya kutafuta wachezaji basi wangekuwa na wachezaji wazuri sio hivi vishoia walivyosajili,

Mimi katika mtu ambaye naamini anapitia wakati mgumu sana Simba inapopoteza mechi ni @ahmedally_ lakini namna ambavyo anapambana kwamba hata kama matokeo ya uwanjani ni mabaya lakini brand ya SIMBA isiwe mbaya ni yeye na kitu ambacho sio kila mtu anaweza kufanya bali wanaweza kufanya watu waliobarikiwa pekee.


Toka awe @simbasctanzania pale wamepitia nyakati mbaya sana lakini yeye amehakikisha anaishi kwenye mioyo ya mashabiki na inafika hatua mashabiki wanakuwa upande wake ili tu wasimuangushe, na ndio mana SIMBA hata iwe na matokeo mabaya ila uwanjani hawajahi kuiangusha team yao na yote ni kazi ya hamasa ya AHMED ALLY.

Mwamba ni jeshi la mtu mmoja kweli kweli na ucheshi wake ni ngao kubwa pale ambapo club yake inapitia kwenye nyakati ngumu.

Kwakweli mimi sio shabiki wa kolo kabisa na napenda wanavyopitia nyakati ngumu, nasikia raha kweli ila naheshimu sana utendaji wa @ahmedally_ sijui ilikuwaje masikini ya Mungu akachagua kufanya kazi kwenye club mbovu hivi