SIMBA Wathibitisha Kuachana na Kocha FADLU, Hii Hapa Taarifa Rasmi
Klabu ya Simba Sc imethibitisha umefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na kocha Mkuu Fadlu Davids kama kocha mkuu klabuni hapo na kubainisha kwamba makubaliano hayo ni matakwa binafsi ya kocha…