TETESI za Usaji: Wachezaji Wanaotajwa Kuachwa Yanga na Simba Hawa Hapa
KLABU kongwe nchini, Simba na Yanga, zimetembeza panga kwa upande wa wachezaji wa kimataifa kuelekea msimu mpya, huku zikilenga kuboresha vikosi vyao zaidi kwa ajili ya malengo makubwa kwenye michuano…