Soma kwa makini na uelewe kuanzia sasa kwamba.
➡️Feisal Salum hana mpango wa kurejea Yanga SC kwa sasa.
➡️ Taarifa nilizozipata kutoka kwa mmoja wa wana-familia ya Feisal amenidodosa kwamba, hakuna uwezakano huo.
Fei Toto kishafunga ukurasa wake wa maisha ya soka ndani Yanga SC kwa sasa yupo Azam FC na si jangwani tena.
➡️Aidha, ofa zilizofika Azam FC hadi sasa ni kutoka.
°☎️Yanga SC ❌
°☎️Simba SC …..
°☎️Kaizer Chiefs….
°☎️TP Mazembe….