Hatimaye Fei Toto Sasa ni Yanga, Apewa Mkataba wa Miaka Miwili
Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji mahiri Feisal Salum maarufu kama Fei Toto, kutoka Azam FC, na kumrejesha rasmi Jangwani kwa kandarasi ya miaka miwili hadi…