Bodi ya Ligi Yatangaza Watakao Chezesha Dabi ya Kariakoo, Refa Kutoka nje ya Nchi
Dabi ya Kariakoo ni moja ya michezo mikubwa na yenye mvuto zaidi katika soka la Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki, ambapo hushuhudia upinzani mkali kati ya klabu kongwe zenye…