Uzuri na Udhaifu wa Kocha Huyu Anayetajwa Kuja Yanga Kuchukua Nafasi ya Folz
KUNA hesabu kubwa zinaendelea ndani ya Yanga, uongozi wa klabu hiyo unaendelea na majadiliano ya kumpata kocha mpya, huku ikielezwa kwamba endapo utamalizana na Romain Folz, basi Romuald Rakotondrabe ‘Roro’…