Fiston Mayele Awaaga Pyramids, Kutimkia Timu Hii ya Kocha Nabi
Fiston Mayele Awaaga Pyramids, Kutimkia Timu Hii ya Kocha Nabi Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Congo Dr Fiston Mayele amewaaga mashabiki wa prymid baada ya kuhudumu miaka miwili Fiston…
Fiston Mayele Awaaga Pyramids, Kutimkia Timu Hii ya Kocha Nabi Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Congo Dr Fiston Mayele amewaaga mashabiki wa prymid baada ya kuhudumu miaka miwili Fiston…
Kupitia taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeelezwa kuwa Rais wa TFF Wallace Karia amemsimamisha kazi Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Almasi…
Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana imetinga fainali ya kombe la COSAFA 2025 kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Comoros kwenye nusu fainali. Bafana Bafana itachuana na Angola…
RAIS wa Shirikisho la Soka Nchini Tanzania (TFF), Wallace Karia, amemshitaki Mwanachama wa Yanga SC. Haji Sunday Manara kwa tuhuma za kuchapisha maandiko mbalimbali kwenye mitandao yake ya kijamii ya…
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imethibitisha kuipatia Klabu ya Simba Sports Club ruhusa rasmi ya kufanya mazoezi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, siku ya…
” …Yeah Maandalizi yanaendelea vizuri kuelekea mchezo wetu wa Jumapili na kikubwa kabisa ni kwamba…kuna baadhi ya wachezaji ambao walikuwa na changamoto ndogo…Kama mtakumbuka mchezo wetu wa mwisho dhidi ya…
Mchambuzi Hans: Yanga Walipwe Madeni Yao na TFF/CRDB Hawana Shida na Yanga, Shida Ipo TFF
Huu Ndio Mchanganuo wa Udhamini wa CRDB Kombe la Shirikisho Michuano ya shirikisho ilirejeshwa 2015-2016 baada ya kusimama tangu 2002 na Azam Media ndio iliyokuwa ikiidhamini na bingwa alikuwa akipewa…
Klabu ya Simba imetoa taarifa rasmi ikieleza kuwa itashiriki mchezo wa Ligi Kuu namba 184 dhidi ya Yanga Sc kama ulivyopangwa kufanyika siku ya Jumapili, tarehe 15 Juni 2025. Klabu…
Edo Kumwembe: Nilimsifia Chasambi ila Nimeangukia Pua Nilijigamba sana mwanzoni mwa msimu kwamba huenda Ladaki Chasambi na Edwin Balua wangekuwa moto katika safu ya ushambuliaji ya Simba. Kumbe nilikuwa najidanganya…