Wed. Nov 5th, 2025

Huu Ndio Mchanganuo wa Udhamini wa CRDB Kombe la Shirikisho

Michuano ya shirikisho ilirejeshwa 2015-2016 baada ya kusimama tangu 2002 na Azam Media ndio iliyokuwa ikiidhamini na bingwa alikuwa akipewa Sh50 milioni, kabla ya mwaka jana ilipoingia Benki ya CRDB kwa mkataba wa miaka mitatu.
.
Wakati ikiingia kuidhamini michuano hiyo benki hiyo ilianza kwa kutoa Sh255 milioni ikiwa hatua ya robo fainali na msimu huu ukiwa ni mwaka wa kwanza dau ni Sh800 milioni ambazo zinajumuisha maandalizi ya mashindano, zawadi ya bingwa na washindi wengine kama mchezaji bora wa msimu, nyota wa mchezo, bao bora na kadhalika.
.
Kwa msimu wa pili wa udhamini huo, dau litaongezeka kuwa Shl bilioni na msimu wa tatu ambao ndio wa mwisho wa mkataba itakuwa ni Shl.2 bilioni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *