Roman Folz Afanya Jambo Hili Baada Ya Mashabiki Wa Yanga Kumkataa Na Kumtaka Aondoke Jangwani
Ni kweli mashabiki wengi wa Yanga SC wameanza kuonyesha wasiwasi mkubwa juu ya uwezo wa Romain Folz. Licha ya kupewa rasilimali zote muhimu, kama wachezaji bora, viwanja vya mazoezi na…