Wed. Nov 5th, 2025
Kocha Hemed Morocco
Kocha Hemed Morocco

SIMBA SC : “…hawa ni walimu wa muda tu…”

Simba kupitia kwa msemaji wake, Ahmed Ally imeeleza kwa kina sababu za kumteua Hemed Suleiman Morocco kuwa kocha wake wa muda, wakati mchakato wa kusaka kocha wa kudumu ukiendelea….

Ahmed Ally pia ameeleza sababu ni kwanini mashabiki wanatakiwa wajae kwa wingi dimbani kwenye mchezo wao wa kwanza wa ligi kuu ya NBC utakaopigwa, Alhamisi wiki hii dhidi ya Fountain Gate

Tazama Video Hapa chini: