Bafana Bafana na Angola Watinga Fainali COSAFA 2025
Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana imetinga fainali ya kombe la COSAFA 2025 kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Comoros kwenye nusu fainali. Bafana Bafana itachuana na Angola…
Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana imetinga fainali ya kombe la COSAFA 2025 kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Comoros kwenye nusu fainali. Bafana Bafana itachuana na Angola…
RAIS wa Shirikisho la Soka Nchini Tanzania (TFF), Wallace Karia, amemshitaki Mwanachama wa Yanga SC. Haji Sunday Manara kwa tuhuma za kuchapisha maandiko mbalimbali kwenye mitandao yake ya kijamii ya…
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imethibitisha kuipatia Klabu ya Simba Sports Club ruhusa rasmi ya kufanya mazoezi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, siku ya…
” …Yeah Maandalizi yanaendelea vizuri kuelekea mchezo wetu wa Jumapili na kikubwa kabisa ni kwamba…kuna baadhi ya wachezaji ambao walikuwa na changamoto ndogo…Kama mtakumbuka mchezo wetu wa mwisho dhidi ya…
Mchambuzi Hans: Yanga Walipwe Madeni Yao na TFF/CRDB Hawana Shida na Yanga, Shida Ipo TFF
Huu Ndio Mchanganuo wa Udhamini wa CRDB Kombe la Shirikisho Michuano ya shirikisho ilirejeshwa 2015-2016 baada ya kusimama tangu 2002 na Azam Media ndio iliyokuwa ikiidhamini na bingwa alikuwa akipewa…
Klabu ya Simba imetoa taarifa rasmi ikieleza kuwa itashiriki mchezo wa Ligi Kuu namba 184 dhidi ya Yanga Sc kama ulivyopangwa kufanyika siku ya Jumapili, tarehe 15 Juni 2025. Klabu…
Edo Kumwembe: Nilimsifia Chasambi ila Nimeangukia Pua Nilijigamba sana mwanzoni mwa msimu kwamba huenda Ladaki Chasambi na Edwin Balua wangekuwa moto katika safu ya ushambuliaji ya Simba. Kumbe nilikuwa najidanganya…
🔴 #LIVE:SAKATA LA TFF NA YANGA LAPAMBA MOTO KILA MMOJA AVUTIA KWAKE LAJADILIWA BUNGENI SPORTS ARENA
Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Yanga Andre Mtine baada ya kutoka Ofisi za TFF ameendelea kusisitiza msimamo wao kama klabu ni kulipwa fedha za zawadi ya bingwa wa Kombe la…