Diddy Ahukumiwa Miaka 4 Jela kwa Kesi ya Usafirishaji wa Wanawake
Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Sean ‘Diddy’ Combs amehukumiwa kwenda jela miezi 50 (sawa na miaka 4 na miezi 2) baada ya kukutwa na hatia katika makosa…
Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Sean ‘Diddy’ Combs amehukumiwa kwenda jela miezi 50 (sawa na miaka 4 na miezi 2) baada ya kukutwa na hatia katika makosa…
Klabu ya Simba Sc imemtambulisha kocha Dimitri Pantev kama meneja wa timu hiyo huku vyanzo vikieleza kocha mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi atakuwa Selemani Matola kwenye makaratasi ingawa Pandev…
Klabu ya Simba Sc imemtambulisha kocha Dimitri Pantev kama meneja wa timu hiyo huku vyanzo vikieleza kocha mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi atakuwa Selemani Matola kwenye makaratasi ingawa Pandev…
“Tangu niwe kocha, sijawahi kukutana na mpinzani mgumu kumkabili kama Young Africans.. Kiukwelil naipenda Tanzania ni Nchi nzuri yenye kila aina ya maisha, nitaïkumbuka Daima lakini pia ile Young Africans…
Natamani Tanzania ingekuwa kama Uingereza namna ambavyo wamekuwa na moyo mkunjufu wa kuwasapoti wachezaji wao wa kizawa na kuwapa promo kubwa kuliko hata uwezo wa mchezaji Ukweli ukimuangalia namna ambavyo…
Mara baada ya kocha mkuu wa Yangasc Romain Folz kuwa na kiwango ambacho sio cha kuridhisha kwenye michezo kadha ambayo ameisimamia klabu hiyo hatimaye uongozi wa Yangasc umeanza mchakato wa…
KLABU ya JKT Tanzania imeweka wazi hatma ya kocha wao, Ahmad Ally, kufuatia tetesi na maswali mengi yaliyoibuka mitandaoni kuhusu Kocha huyo kuhitajika na Klabu ya Simba SC. Kupitia taarifa…
Kwenye kikao cha kumfukuza Kocha Foili kilichofanyika jana Mbeya kwenye Hoteli iliyopo Mafiati Kocha kauliza mnanifukuza kwani mimi ndio nimesajili Wastaafu? Wakajibu hapana, akauliza tena mimi ndio nimesajili Streka mechi…
Kikosi cha Yanga SC kimewasili jijini Dar es Salaam baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, Septemba 30, 2025, ambapo walitoka suluhu ya…
Simba Sports Club iko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kocha Nasreddine Nabi (60) kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kwa msimu wa 2025/2026, taarifa ambazo zimezua msisimko…